Korogwe Fm ni radio ya kijamii inayopatikana Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Redio hii inayosikika katika masafa ya 99.7MhZ imekuwa ikitangaza habari mbalimbali kitaifa na kimataifa hasa zinazohusu jamii, uchumi, siasa na maisha ya wananchi.
Redio hii iliyoanzishwa mwaka 2008 in dhamira ya kuboresha maisha ya watu kwa kutangaza habari bora zenye mchango mkubwa kwenye jamii.