Mkurugenzi wa TALISDA FOUNDATION anawatangazia watu wote kuwa maadhimisho ya “Giving tuesday” yatafanyika 3/12/2024. Kwa wilayani Korogwe maadhimisho hayo yatafanyika sambamba na sherehe za kutimiza miaka 18 tangu kuanzishwa kwa shirika lisilo la kiserikali la TALISDA FOUNDATION.